STIVEN GERALD NA MSHAKAJI WAKE SUAREZ WAKUTANA MAREKANI
Washkaji waliowahi kukipiga pamoja katika klabu ya Liverpool nahodha Stiven Gerald na mshambuliaji Luis Suarez wamekutana nchini Marekani wakati timu zao za sasa za LA Galaxy na Barcelona zilipokutana katika mchezo wa kirafiki.
0 comments:
Post a Comment