Gerald Pique akivuta cigar kama sehemu ya kusheherekea.
Sunday, June 7, 2015
WACHEZAJI WA BARCELONA KATIKA POZI MBALIMBALI BAADA YA UBINGWA
Hizi ni pozi za wachezaji mbalimbali wa Barcelona baada ya kutwaa kombe la ligi ya mabingwa Ulaya mbele ya Juventus usiku wa jana kwa ushindi wa mabao 3 kwa moja jijini Berlin Ujerumani.
Messi akigonga chai asubuhi ya leo baada ya kazi nzuri usiku wa jana
Iniesta alitajwa kuwa mchezaji bora wa mechi ya fainal

Gerald Pique akivuta cigar kama sehemu ya kusheherekea.
NEYMAR na marafiki zake baada ya ubingwa pale olimpia berlin.
Dani Alves akiwa kapozi na kombe la uefa pamoja na familia yake.
Ivan Rakitic akiwa na mwanae.
Messi na mwanae Thiago.
Neymar na mwanae pia
Gerald Pique akivuta cigar kama sehemu ya kusheherekea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment