Kwa takwimu hizi unaweza kuanza kumfikiria bingwa wa UEFA usiku huu japo fainali huwa tofauti na michezo ya kawaida kwa sababu kila mtu hujitoa na hana chakupoteza.
Juventus tayari wanayo kibindoni makombe mawili ya Seria A na Copa Italia sawa sawa na Barcelona iliyo na mataji mawili ya La liga na Copa del Rey
Saturday, June 6, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment