Main Menu

Sunday, January 6, 2013

KABATI KATIBA STAR SEARCH YAFIKA TAMATI KWA MAFANIKIO


                mkuu wa mkoa wa iringa christine ishengoma (kulia) akiwa na mkurugenzi wa mashindano ritta kabati (kati) na mkurugenzi wa manispaa ya iringa teresia mahongo (kushoto)
Msanii Emanuel Mgata aliyeshika cheti ndiye aliyeibuka mshindi wa nafasi ya kwanza ya shindano la Kabati Katiba Star Search, akiwa amesimama na mkurugenzi wa shindano hilo Mbunge Ritta Kabati.
     viongozi wakuu wa mkoa wa iringa na manispaa walihudhuria shindano hilo lililofanyika club twisters.


                                                                      wadau
          mkurugenzi wa kabati katiba star search ambaye ni mbunge viti maalum mkoa wa iringa rita kabati

       Mbunge wa viti maalum mkoa wa irnga rita kabati akiimba wimbo wa pamoja na washiriki walioingia kumi bora.

       mratibu wa shindano hilo eddo bashir wa ebony fm (kulia) akiwa na mmoja wa majaji.

na oliver motto.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment