godbless lema katika moja ya mikutano yake
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha
Mjini (Chadema), Godbless Lema leo ameshinda rufaa ya kesi yake katika mahakama kuu jijini dar es salaam.
Mahakama imejiridhisha kuwa madai ya udhalilishaji hayakuathiri uchaguzi
wala mlalamikaji (CCM), kuanzia muda huu Lema ni mbunge halali wa Jimbo la
Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema kama ilivyokua hapo awali.
hata hivyo mahakama imeiamuru CCM kulipa gharama za
kesi hii tangu ilipofunguliwa mpaka ilipoishia!.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment