Fainal ya nne ya NBA imepigwa alfajiri ya leo na kuishuhudia timu GOLDEN STATE WARRIORS ikirejea katika ushindi baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo dhidi ya CLEVELAND CAVALIERS.
WARRIORS wamepata ushindi mnono wa point 103 kwa 83 huku mkali wake MVP Stephen Curry na Andre Iguodala wakitupia point 22 kila mmoja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment