Kiungo wa timu ya juventus ya nchini italia arturo vidal usiku wa kuamkia leo ameisaidia timu yake kuanza vema mbio za kuusaka ubingwa wa COPA AMERICA baada ya kuifunga ECUADOR mabao 2-0.
Bao lingine katika mchezo huo lilifungwa na mshambuliaji wa timu ya QPR ya nchini England eduardo Vargas.bao la Vidal lilifungwa kwa mkwaju wa penalt.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment