Kiungo wa zamani wa barcelona Xavi Hernandes amesaini kuichezea timu yake mpya ya Al sadd ya Qatar na kutambulishwa rasmi.
Xavi mwenye umri wa miaka mitano amekabidhiwa jezi ya namba anayoipenda, namba 6 aliyokua anaivaa hata alivyokua anakipiga na Barca.
Xavi akubaliana na Al-Sadd kuichezea timu hiyo baada ya kuisaidia timu yake ya zamani ya barcelona kushinda makombe matatu (treble)
Mkongwe xavi amepewa jezi namba 6 aliyokua anaitumia akiwa na Barcelona
Xavi akitambulishwa na timu yake mpya katika uwanja wa timu hiyo Jassim Bin Hamad Stadium baada ya kusain mkataba.
0 comments:
Post a Comment