Depay mwenye umri wa miaka 21 raia wa Uholanzi alitupia picha hizo kwenye ukurasa wake wa instragram akiwa jiji Miami.
Hili inaweza kuwa beef kati ya mchezaji huyo anayekipiga pia na timu ya taifa ya Uholanzi na mwanamuziki huyo mwenye skendo nyingi Chrss Brown.
0 comments:
Post a Comment