Mazoezi ya viungo yanaendelea
Baada ya mazoezi ya viungo, kiungo mao anapokelewa na msemaji wa timu hiyo Jaffar Idd Maganga.
Wataalam wa viungo kutoka Romania waliokuja kuongeza nguvu benchi la ufundi linaloongozwa na muingereza Stewart Hall
Baada ya mazoezi wachezaji wakaenda swiming kumalizia zoezi la mwisho
0 comments:
Post a Comment