Bondia floyd Mayweather akiwa safarini kwenye ndege yake binafsi kwenda kushuhudia mchezo wa fainal ya kwanza ya NBA kati ya Golden State Warriors dhidi ya Cleveland Cavaliers alfajiri ya kesho.
HAYA NDIO MAGARI ANAYOMILIKI MAYWEATHER
Rolls-Royce Phantom Drophead Coupe - £305,000
Rolls-Royce Ghost - £170,000
Mercedes-Maybach S600 - £165,000
Mercedes G63 AMG V8 Biturbo - £123,000
Bentley Flying Spur - £142,800
Bugatti Grand Sport - £1.5m
Bugatti Veyron - £1.5m
Ferrari 458 Spider - £200,000
McLaren 650S Spider - £175,000
Lamborghini Aventador LP 700-4 Roadster - £300,000
TOTAL: £4.58m
0 comments:
Post a Comment