Friday, July 3, 2015
HAMISI KIZA ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC
Mchezaji Hamisi Kizza amejiunga rasmi na Klabu ya Simba leo kwa kusaini mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya leo mchana.
Hamis Kizza ni mchezaji kutoka Uganda ambaye pia anacheza timu ya Taifa ya Uganda, Uganda Cranes.
Taarifa kwa mujibu wa www.simbasports.co.tz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment