Fainal ya tatu ya mpira wa kikapu Marekani NBA imepigwa asubuhi ya leo na kuishuhudia kwa mara nyingine timu ya Cleveland Cavaliers ikishinda mchezo wa pili mfululizo na kuizidi Golden State Warriors kwa mchezo mmoja.
Katika mchezo wa leo mapema Cavaliers wameshinda kwa point 96 dhidi 91 za Warriors.
Le bron James aliiongoza timu yake kwa kufunga point 40, rebound 12 na assist 8.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment