Main Menu

Tuesday, May 12, 2015

WAGANDA WAANZA KUIKIMBIA SIMBA

Baada ya kumalizika kwa ligi kuu ya vodacom wikiendi iliyopita, baadhi ya wachezaji waanza kutafuta maisha katika vilabu vingine.

Miongozi mwa wachezaji hao ni wachezaji wa klabu ya Simba akiwemo beki kisika Joseph Owino pamoja na mshambuliaji aliyesajiliwa kwa mbwembwe katikati mwa msimu uliopita Dan Sserunkuma.

Kupitia kurasa za mitandao yao ya kijamii wachezaji hao wamewaaga mashabiki na timu hiyo pamoja na viongozi wao kwa kufanya kazi na timu hiyo.



0 comments:

Post a Comment