Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema hayo katika
mkutano na waandishi wa Habari ikiwa ni siku mbili kuelekea katika mchezo huo.
Amesema Matatizo ya goti yanaweza kuwa sababu ya Welbeck
kutokujumuishwa katika kikosi cha Arsenal kitakachowavaa Manchester United siku
ya Jumapili.
Mara ya miwsho kwa Welbeck kucheza ilikuwa ni mwezi
uliopita dhidi ya Chelsea katika sare ya bila kufungana.




0 comments:
Post a Comment