Droo ya makundi ya ligi ya mabingwa barani ulaya imepangwa ambapo mabingwa wa England, Manchester City wamepangwa tena kundi moja na mabingwa wa
Ujerumani, Bayern Munich pamoja na CSKA Moscow na Roma, wakati Liverpool wao wamepangwa na mabingwa watetezi, Real Madrid.
Mabingwa mara tano Ulaya, Liverpool mbali na kupangwa na mabingwa mara 10 wa taji hilo, Real pia wapo na Basle na Ludogorets.
Arsenal, imepangwa na Borussia Dortmund pamoja na Galatasaray na Anderlecht katika Kundi D, wakati Chelsea imepangwa na wakali wengine wa Ujerumani, Schalke, Sporting Lisbon na Maribor.
Makundi kamili ni kama yanavyoonekana.....
0 comments:
Post a Comment