Main Menu

Saturday, May 17, 2014

DIEGO SIMIONE AIBEBESHA UBINGWA WA LA LIGA ATLETICO MADRID BAADA YA SARE NA BARCA

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa La Liga baada ya kuilazimisha fc Barcelona sare ya bao moja katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa Nou Camp.

Alexis Sanchez alikua wa kwanza kuifungia barca katika dakika ya 33 kabla ya Diego Godin kuisawazishia Atletico katika dakika 49.

Joy: Atletico's Diego Godin (left) celebrates his goal against Barcelona

Diego Godin akisangilia baada ya kuisawazishia Atletico katika dakika 49

0 comments:

Post a Comment