Main Menu

Sunday, November 17, 2013

WAKALI WANNE WA BONGO NDIO WATAKAOPAFORM JUKWAA MOJA NA P-SQUARE

 Yule BEAUTIFUL ONYINYE Lazima aambiwe BEI YA MKAA ili awe tayari kuwa WA UBANI na atasema NIKUMBATIE maana NO ONE LIKE YOU.
Mkali wa R&B Bongo Ben Pol na Mkali wa michano toka WEUSIII Joh Makini nao pia ni wasanii watakaopanda jukwaa moja na P-SQUARE siku ya Novemba 23.

Hawa wasanii wanne tu toka Tanzania Lady Jay D, Ben Pol, Profesa J na Joh Makini ndio watapanda jukwaa moja na P-SQUARE ili kukupa muda mrefu wa burudani yenye viwango toka kwa P-SQUARE
 
NA djchokablog

0 comments:

Post a Comment