Mshambuliaji wa pembeni wa timu ya taifa Wales Gareth Bale ameungana na wachezaji wenzake wa la liga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
katika kinyang'anyiro cha tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, maarufu
kama Ballon d'Or.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 23 ameingia kwenye orodha ya wanasoka
wanaowania ufalme wa dunia, iliyotolewa leo ambayo mshindi wake atatajwa
Januari 13 mwakani mjini Zurich, Uswisi
Gareth Bale made a £86m move to Real Madrid following a superb season for Tottenham
Luis Suarez has been sensational for Liverpool
ORODHA YA WANAPOWANIA BALLO D'OR
Gareth Bale (Real Madrid/Wales)
Philipp Lahm (Bayern Munich/Germany)
Thomas Muller (B Munich/Germany)
Manuel Neuer (B Munich/Germany) Bastian Schweinsteiger (B Munich/Germany)
Mesut Ozil (Arsenal/Germany)
Robin van Persie (Man United/Netherlands)
Arjen Robben (B Munich/Netherlands)
Edinson Cavani (PSG/Uruguay)
Luis Suarez (Liverpool/Uruguay)
Andres Iniesta (Barcelona/Spain)
Xavi (Barcelona/Spain)
Neymar (Barcelona/Brazil)
Thiago Silva (PSG/Brazil)
Radamel Falcao (Monaco/Colombia)
Andrea Pirlo (Juventus/Italy)
Franck Ribery (B Munich/France)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid/Portugal)
Eden Hazard (Chelsea/Belgium)
Zlatan Ibrahimovic (PSG/Sweden)
Robert Lewandowski (Dortmund/Poland)
Lionel Messi (Barcelona/Argentina)
Yaya Toure (Manchester City/Ivory Coast)
Philipp Lahm (Bayern Munich/Germany)
Thomas Muller (B Munich/Germany)
Manuel Neuer (B Munich/Germany) Bastian Schweinsteiger (B Munich/Germany)
Mesut Ozil (Arsenal/Germany)
Robin van Persie (Man United/Netherlands)
Arjen Robben (B Munich/Netherlands)
Edinson Cavani (PSG/Uruguay)
Luis Suarez (Liverpool/Uruguay)
Andres Iniesta (Barcelona/Spain)
Xavi (Barcelona/Spain)
Neymar (Barcelona/Brazil)
Thiago Silva (PSG/Brazil)
Radamel Falcao (Monaco/Colombia)
Andrea Pirlo (Juventus/Italy)
Franck Ribery (B Munich/France)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid/Portugal)
Eden Hazard (Chelsea/Belgium)
Zlatan Ibrahimovic (PSG/Sweden)
Robert Lewandowski (Dortmund/Poland)
Lionel Messi (Barcelona/Argentina)
Yaya Toure (Manchester City/Ivory Coast)
Bale,
alijiunga na Real Madrid akitokea Tottenham kwa dau la rekodi ya dunia,
Pauni Milioni 86, Septemba baada ya kuifungoa mabao 26 Spurs msimu
uliopita.
Mshambuliaji
wa Barcelona na Argentina, Messi amekuwa akishikilia tuzo hiyo kwa
miaka minne iliyopita, na mchezaji mwenzake Bale ndani ya Madrid,
Ronaldo amekuwa wa pili miaka yote hiyo.
Franck
Ribery, ambaye ameshinda tuzo ya Mwanasoka bora wa Ulaya ya UEFA msimu
wa 2012-13, baada ya kuisaidia Bayern Munich kushinda mataji la Ligi ya
Mabingwa, Bundesliga na Kombe la Ujerumani, ni mchezaji mwingine mwenye
jina kubwa katika orodha hiyo.
Ribery
anaungana na wachezaji wenzake wa Bayern, Philipp Lahm, Thomas Muller,
Manuel Neuer, Arjen Robben na Bastian Schweinsteiger wakati pia nyota wa
Barcelona, Xavi, Andres Iniesta na Neymar aliyesajiliwa msimu huu wamo.
Wachezaji
watatu wa Paris St Germain, Zlatan Ibrahimovic, Edinson Cavani na
Thiago Silva wamo pia pamoja na nyota mwingine mwenye jina kubwa Ligue 1
ya Ufaransa, Radamel Falcao wa Monaco aliyesajiliwa kuoka Atletico
Madrid msimu huu.
Pamoja
na orodha hiyo ndefu, bado katika tuzo hizo wanasoka wawili wapinzani
wakubwa, Ronaldo na Messi wanatarajiwa kutawala kutokana na kuonekana
kwamba bado wako juuu ya wengine
Manchester City midfielder Yaya Toure
Chelsea's Eden Hazard
Wizard: Mesut Ozil has continued his fine form at Arsenal following summer switch from Real Madrid
Cristiano Ronaldo
0 comments:
Post a Comment