UWEZEKANO WA WAFANYABIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) KURUDI KUFANYA BIASHARA ENEO LA MASHINE TATU IRINGA LASHINDIKANA BAADA YA ENEO HILO KUGEUZWA KITUO CHA DALADALA
Daladala ziendazo isakalilo zikiwa kwenye foleni katika eneo la mashine tatu manispaa ya iringa
Daladala zikiwa foleni na maisha mengine yanaendelea kama kawaida.
0 comments:
Post a Comment