Bow Wow alivyombusu Tyra Banks mwaka 2009 So, jana imetokea tena. Awamu hii ni katika mazingira tofauti. Ni katika show yake mwenyewe Bow Wow ya 106 & Park ya BET na Tyra alikuwa mgeni.
Awamu hii pia Tyra ndiye aliyeitaka busu hiyo. “You tryna do the remix?” Tyra alimuuliza Bow Wow.
Baadaye aliinua miguu yake na kuweka kwenye mapaja ya Bow Wow na kukutanisha lips zake laini kwa dogo Bow Wizzy. Baada ya tukio hilo, rapper huyo wa YMCMB alijisifia kuwa yeye ndio mtangazaji bora zaidi wa kiume kwenye TV.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment