Main Menu

Friday, August 9, 2013

HIVI NDIVYO WAUMINI WA DINI YA KIISLAM MKOANI IRINGA WALIVYOTEKELEZA IBADA YA SIKUKUU YA EID KATIKA UWANJA WA SAMORA


 HUTUBA YA EID IMEWATAKA WAUMINI WA KIISLAM KUENDELEA KUTENDA MAMBO MEMA BAADA YA KUMALIZIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

 PICHA KWA AJILI YA KUMBUKUMBU NI MUHIMU PIA


 SHEKHE MUHIBU ALLY SENGO AKITOA HOTUBA BAADA YA SWALA YA EID
 EEE MWENYEZI MUNGU ZIPOKEE FUNGA ZETU NA UTUSAMEHE MAKOSA YETU
 WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WAKITOKA UWANJA WA SAMORA

 KUTOKA KUSHOTO MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA MICHEZO EBONY FM ISSA MAEDA, KATIKATI MDAU SALUM NA KULIA MMILIKI WA MTANDAO HUU NA MTANGAZAJI WA EBONY FM YAHAYA MOHAMEDY BAADA YA SWALA YA EID KATIKA UWANJA WA SAMORA MKOANI IRINGA.

0 comments:

Post a Comment