Main Menu

Thursday, July 4, 2013

WENYEVITI WA MITAA NA VIJIJI WAPATAO 120 WA MANISPAA YA IRINGA WAPATA MAFUNZO YA UTAWALA BORA

 MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA MAFUNZO HAYO MSSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA IRINGA AMAN MWAMWINDI AKIZUNGUMZA NA WASHIRIKI KWA KUWATAKA WAZINGATIE WANACHOFUNDISHWA KWA AJILI YA KUBORESHA UTENDAJI WAO KATIKA MAENEO YAO YA KAZI
 WAKUFUNZI KUTOKA KITUO CHA UTAWALA BORA TAIFA
 MKURUGENZI WA MANISPAA YA IRINGA THERESIA MAHONGO AKITOA UFAFANUZI WA HOJA ILIYOIBUKA KATIKA MAFUNZO HAYO YA POSHO KWA WATUMISHI HAO, AMBAPO MAHONGO AMESEMA SUALA HILO LINASHUGHULIKIWA NA ALAT PAMOJA NA NYONGEZA YA POSHO ZA MADIWANI NCHI NZIMA..
 WASHIRIKI WAKIFUATILIA MAFUNZO KWA UMAKINI

WENYEVITI WA MITAA NA VIJIJI WAKIWA WAMESIMAMA KWA DAKIKA MOJA KUMKUMBUKA DIWANI WA KATA YA NDULI CHONANGA ALIYEFARIKI JANA

0 comments:

Post a Comment