Basi
la Abiria la kampuni ya Abood lililokuwa linatoka Dar es salaam kuelekea jijini Mbeya
Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani
Iringa.
katika ajali hiyo abiria wote wamenusurika, Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika
0 comments:
Post a Comment