Mshindi
wa Redd's Miss Temeke 2013, Sviona Nyameyo (katikati), ambaye ni
mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM), akiwa na mshindi wa pili, Narietha Boniface, mwanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Muhimbili (MUHAS), na mshindi wa tatu,
Latifa Mohamed ambaye ni muhitimu wa kidato cha sita baada ya kutangazwa
washindi katika shindano hilo lililofanyika TCC Club Chang'ombe, Dar es
Salaam
Bendi ya Twanga Pepeta ikitumbuiza katika mashindano hayo
Walimbwende wakionesha umahiri wa kucheza muziki
Majaji wa mashindano hayo, Albert Makoye, Dk. Lamesh Shah (katikati) na Lucas Lutha (kulia), wakifuatilia kwa makini.
Mgeni
rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza na
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept Tanzania Limited, Juma
Pinto.
Warembo wakiwa wamejipanga tayari kwa mashindano hayo
Redds miss Temeke waliofanikiwa kuingia tano bora
mshindi ktma Msanii Ben Paul akitumbuiza
Mwandaaji wa shindano hilo, Benny Kisaka akitangaza washindi na zawadi watakazozawadiwa
Mshindi wa Pili
Mbunge
wa Temeke, Abbas Mtemvu ambaye alikuwa mgeni rasmi akimkabidhi mshindi
wa kwanza wa shindano hilo, Sviona Nyameyo zawadi ya sh.milioni 1.
Mkurugenzi
wa Rio Gym $ Spa, Said Othman (kulia), akimkabidhi kadi itakayo
muwezesha Mkurugenzi wa BMP Promotion, Beny Kisaka ambaye ni muandaaji
wa mashindano ya Redd's Miss Temeke kuingia katika Gym hiyo kufanya
mazoezi kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kuwa muandaaji bora wa
mashindano hayo kwa zaidi ya miaka 15. Gym hiyo ipo kwenye Jengo la
Quality Centre Barabara ya Nyerere. Kadi hiyo imelipiwa sh. milioni 1.4.
0 comments:
Post a Comment