Kutoka kushoto ndiye mkuu wa wilaya ya Kilolo Gerald Guninita anayetuhumiwa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Kilolo, katikati ni mwenyekiti wa halmashauri hiyo na kulia ni afisa kilimo na kaimu mgurugenzi mtendaji halmashauri ya Kilolo bw Benson Kilangi.
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi TALGWU wilaya ya kilolo Andrea Mwandimbile akizungumza na wanahabari asubuhi ya leo.
0 comments:
Post a Comment