Main Menu

Sunday, July 7, 2013

BBA THE CHASE MALAWI, ZIMBABWE WAAGA, NANDO AENDELEA KUPETA

 Mshiriki kutoka malawi fatima ameliaga rasmi shindano la big brather africa the chase baada ya kutolewa mjengoni, mwana dada huyu aliyekua na ndoto za kushika kitita cha dolari laki tatu aliangusha kilio cha maana baada ya kutajwa kutolewa.

 mwakilishi mwingine kutoka zimbabwe hakeem naye alifungishwa virago vyake kutoka mjengoni, hakeem alionekana kukwera na kutolewa huko hali iliyomfanya kuonyesha hisia zake wazi pale alipotolewa na kuanza kufanyiwa interview ambapo sura yake ilionyesha ya hudhuni.

mshiriki kutoka tanzania nando ameendelea kupeta  mjengoni baada ya kuchomoka kwa mara ya pili katika hatari ya kutolewa.



0 comments:

Post a Comment