Thursday, June 13, 2013
WASHIRIKI WA REDDS MISS IRINGA WATEMBELEA STUDIO ZA EBONY FM NA KUPIGA STORY NA BONNY SLY
Mtangazaji wa kipindi cha vuta pumzi bonny sly akipiga story na baadhi ya warembo kabla ya kuelekea kesho kwenye shindano la Redds Miss Iringa pale Highlands hall kwa kiingilio cha shilingi 15,000 getini na 12,000 kabla, Tiketi zinapatikana katika ofisi za Ebony fm, Nems collection, Maama beuty saloon tumain.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment