Main Menu

Tuesday, January 15, 2013

MSANII WAKIKE WA KENYA WAHU APATA MSIBA


Mwisho wa wiki hii pia haukuwa mzuri kwa mwanamuziki Wahu wa nchini Kenya, hasa baada ya tukio kubwa na la huzuni la msanii huyu kuondokewa na baba yake mzazi, Mzee Kagwi.
Habari hizi za huzuni ni kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa mwanadada huyu ambao ametumia kuwasiliana na mashabiki wake na kuwafikishia ujumbe ambao umeeleza hisia zake za huzuni ambayo

Kwa kifupi maneno hayo yanasomeka 'I will miss u. I love u forever. I shall see u again in heaven. Rest well'.

Tukio hili ambalo linamgusa Nameless pia ambaye ni mume wa mwanamuziki huyu, limepokelewa kwa mshtuko na maelfu ya watu ambao mpaka sasa wameendelea kuwatumia wasanii hawa maneno ya faraja kupitia mitandao ya jamii.

0 comments:

Post a Comment