Klabu ya Yanga leo imewatambulisha wachezaji wake wapya kutoka
nje ya nchi waliowasili wikiendi iliyopita.
Wachezaji hao ni Donald Ngoma kutoka nchini Zimbabwe na Joseph
Teteh zutah kutoka nchini Ghana.
Wakali hao wametambulishwa makao makuu ya klabu hiyo
mitaa ya Twiga na jangwani na mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano Jerry Murro.
0 comments:
Post a Comment