Kikosi kingine cha timu ya
Taifa kitaondoka nchini siku ya jumamosi kuelekea nchini Rwanda kucheza mchezo
wa kirafiki na timu ya taifa ya Rwanda katika kumbukumbu ya mauaji ya Kimbali.
Kocha Salum Mayanga ataondoka na kikosi cha
wachezaji 18 kuelekea nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo huo wa kirafiki,
akisaidiwa na kocha Bakari Shime.
Wachezaji watakaondoka kwenda Rwanda ni
Peter Manyika, Said Mohamed, Emmanuel Semwanda, Joram Mgeveke, Hassan Isihaka,
Gadiel Michael, Hassan Dilunga, Rashid Mandawa, Atupele Green, Kelvin Friday,
Hassan Kessy, Ibrahim Hajibu, Malimi Busungu, Mudathir Yahya, Deus Kaseke,
Andre Vicent, Amri Kiemba na Mohamed Hussein.
0 comments:
Post a Comment