Taarifa toka ndani ya klabu ya Real Madrid zinasema kuwa
klabu ya Real Madrid imekubaliana na klabu ya PSG kumsajili kiungo Marco
Verrati.
Tayari klabu hiyo imemtangaza Rafael Benitez kuwa kocha wa wa timu
hiyo.
Wachezaji wengine wanaohusishwa kujiunga na klabu hiyo ya
Real Madrid ni pamoja na Arturo Vidal na Marek Hamsik.
Wakati huohuo,klabu ya Inter Milan ipo mbioni kumsajili
kiungo wa klabu ya Galatasaray ya Uturuki Felipe Melo.
Melo mwenye miaka 31
anatazamiwa kujiunga na klabu hiyo kwa kiasi cha euro milioni 5.
0 comments:
Post a Comment