Kamati ya utendaji ya Shirikishi la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF) Katika kikao chake kilichokutana visiwani zanzibar pamoja na mambo mengine
ilipitia mwenendo wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria
mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmin ya mwenendo wa timu.
Kamati ya utendaji kwa kauli moja imeamua
yafuatayo:
1.Ajira ya Kocha Mkuu Maart Nooij inasitishwa
mara moja kuanzia tarehe 21/June/2015.
2.Benchi lote la ufundi la Taifa stars
limevunjwa kuanzia tarehe 21/06/2015.
3.Uongozi wa TFF utatangaza punde benchi
jipya la ufundi la timu ya Taifa.
0 comments:
Post a Comment