Michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea kutimua vumbi
jijini Dar es salaam itaendelea kesho siku ya alhamis katika uwanja wa Taifa,
ambapo Mabingwa mara tatu wa michuano hiyo timu ya APR SC watacheza dhidi ya
LLB ya Burundi, mechi itakayoanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Mchezo
wa kwanza utazikutanisha timu ya Heegan FC ya Somalia itakayocheza dhidi ya Al
Shandy ya Sudan.
0 comments:
Post a Comment