Mshambualiaji wa klabu ya Inter Milan Mauro Icardi
amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa muda wa miaka minne.
Icardi mwenye umri wa miaka 22 alihusishwa na kujiunga na
klabu ya Chelsea lakini amesaini mkataba wa miaka minne katika klabu ya Inter
Milan.
0 comments:
Post a Comment