Kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspur Nabil Bentaleb
amesema kuwa hafurahishwi na kitendo cha klabu yake kumcheleweshea mkataba
mpya.
Tayari vilabu vya PSG na Arsenal vinamtolea macho nyota
huyo wa timu ya taifa ya Algeria maybe amekuwa na msimu mzuri sana akiwa na
klabu ya Tottenham.
0 comments:
Post a Comment