Katika taarirfa za usajili ni kuwa klabu ya Liverpool
imefanikiwa kumpata kiungo wa klabu ya Manchester City James Milner kama
mchezaji huru.
Klabu ya Liverpool imefanikiwa kumalizana maslahi binafsi
na mchezaji huyo na atajiunga na Liverpool mara tu mkataba wake utakapomalizika
na klabu ya Manchester City mnamo tarehe moja ya mwezi wa saba.
0 comments:
Post a Comment