Kocha wa klabu ya Sunderland Dick Advocaat amekubali
kuendelea kuifundisha klabu ya Sunderland kwa msimu mwingine tena.
Hapo kabla Advocaat alitangaza kuiacha klabu ya
Sunderland ili kuendele na majukumu ya familia lakini ameamua kuifundisha tena Sunderland.
Hii inaweza kuwa taarifa njema kwa mmiliki wa Sunderland Ellis Short pamoja na Mkurugenzi wa michezo
wa klabu hiyo Lee Congerton kutokana na uamuzi wa Dick Advocaat kubaki
kuifundisha Sunderland.
0 comments:
Post a Comment