Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya
yanga hapo jana, mchezaji Deus Kaseke ametambulishwa rasmi hii leo ya klabu
hiyo.
Katika utambulisho wake kaseke amekabidhiwa jezi namba 4
ambayo ndio namba aliyokua anaivaa akiwa Mbeya City.
Kaseke jana alisain mkataba wa miaka miwili akitarajiwa
kuziba nafasi ya winga Mrisho Khalfan ngasa aliyepata timu afrika ya kusini.
0 comments:
Post a Comment