Timu ya Yanga imewaongezea mkataba wachezaji wake watatu
kwa ajili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo msimu ujao.
Wachezaji walioongezewa mkataba ni pamoja na Haruna Niyonzima
na Deogratius munishi ‘DIDA’ wamepewa mikataba wa miaka 2 huku Mbuyu Twite akipewa
mkataba wa mwaka mmoja.
Yanga inatajwa kuwaacha baadhi ya wachezaji ili kupisha
maingizo mapya ikiwa ni yakimataifa na kitaifa.
0 comments:
Post a Comment