Jumla ya watazamaji 36,105 walikata tiketi kuhudhuria
mchezo huo, huku VIP A zikikatwa tiketi 68, VIP B tiketi 869, VIP C
tiketi 582, Orange tiketi 1,955 na viti vya rangi ya Bluu na Kijani tiketi
32,631 ziliuzwa.
Mgawanyo wa mapato ni VAT 18% sh. 34,037,542.37, Gharama
ya tiketi sh. 11,462,000, Gharama ya Uwanja 15% sh. 26,645,318.64, Gharama za
mchezo 15% sh. 26.645,318.64, CAF 5% sh. 8,881,772.88, TFF 5% sh. 8,881,772.88
na Young Africans 60% sh. 106,581,274.58.
Mchezo no.91 wa Kombe la Shirkisho barani Afrika (CC)
hatua ya 16 bora uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam, kati ya
wenyeji timu ya Young Africans dhidi ya Etoile du Sahel kutoka Tunisia
umeingiza jumla ya sh. 223,135,000.
0 comments:
Post a Comment