Main Menu

Friday, April 17, 2015

MAN U YAWEWESEKA KWA MAJERUHI KUELEKEA KUIVAA CHELSEA



Kuelekea mchezo wa ligi kuu ya England kati ya Manchester united dhidi ya Chelsea, majeruhi wapoteza furaha old traford.

Manchster United itawakosa nyota wake Marcos Rojo,Daley Blind,Michael Carrick na Phil Jones katika pambano lake na Chelsea, Nyota hao watakosekana kutokana na kuwa majeruhi.

Kwa upande wa Chelsea yenyewe itakuwa bila ya nyota wake Diego Costa ambaye bado anajiuguza majeraha huku nyota wengine kama Loic Remy naye akiwa na mashaka ya kucheza pambano hilo.

0 comments:

Post a Comment