Main Menu

Friday, April 24, 2015

DRAW YA LIGI YAMABINGWA ULAYA YAFANYIKA LEO, BARCA KUANZA NYUMBANI

 Draw ya nusu fainal ya ligi ya mabingwa imefanyika leo, na ratiba inaonesha Bayern Munich itaanzia ugenini dhidi ya Fc Barcelona wakati Real Madrid wataanzia nchini Italia kwa Juventus.

Michezo ya awali ya nusu fainal itafanyika mei 5,6 wakati marudiano itakua mei 12, na 13.
Katika michuano ya Europa League ratiba ya nusu fainal inaonesha timu ya Napoli itakua mwenyeji wa Dnipro wakati Sevilla itawakaribisha Fiorentina.

Michezo hiyo itafanyika mei 7 na 14.

0 comments:

Post a Comment