Mshambuliaji wa timu ya manchestar united Angel di Maria amewaburuza wachezaji wenzake katika ligi kuu ya england katika uuzaji wa jezi msimu huu.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina amewazidi Diego Costa wa Chelsea na Sanchez wa Arsenal wanamfuata kwa karibu.
Kwa mujibuwa duka linalouza vifaa vwa michezo la sports direct ambalo huuza jezi za Arsenal, Aston Villa, Chelsea, Liverpool, United, Manchester
City, Tottenham na Newcastle, Di Maria ndiye mchezaji ambaye jezi zake zimenunuliwa zaidi.
Angel di Maria aliweka rekodi ya uhamisho majira ya kiangazi nchini england kwa uhamisho wake wa kutoka Real madrid kwenda Man u.
Msimamo wa wachezaji wanaoongoza kwa kuuza jezi
0 comments:
Post a Comment