Mchezo huo ulimalizika dakika 90 timu hizo zikiwa zimefungana bao 1-1 huku tabata ikiwa ya kwanza kufunga bao kupitia kwa mshambuliaji wa Yanga Jerry Tegete kwa mkwaju wa penati baada ya yeye mwenyewe kufanyiwa madhambi kwenye eneo la penati.
Abajalo ilisawazisha kupitia mshambuliaji Rashid Ismail kwa kichwa,kwenye matuta Abajalo ilipata mikwaju 7 dhidi ya 6 ya Tabata FC.
Nahodha wa Abajalo Bambino akiwa amelinyanyua kombe ya ubingwa
Ibrahim Masoud Maestro akiwa amebeba ndoo…….
kikosi cha TABATA FC kikipata mawaidha toka kwa kocha wao wakati wa mapumziko……
Mshambuliaji wa Tabata FC Jerry Tegete…………………………..
Kikosi cha Abajalo kabla ya mchezo….
Ramadhani Kipalamoto wa Abajalo jezi namba 10 akijiandaa kuanza mpira…
Jerry Tegete akiruka juu kupiga mpira kichwa……
AAAAAAAAAA
AAAAAAAAAA




0 comments:
Post a Comment