Main Menu

Friday, February 7, 2014

WAPINZANI WA AZAM WAWASILI, TAYARI KWA MCHEZO WA JUMAPILI

Wapinzani wa Azam FC kwenye mechi za kimataifa timu ya Ferroviario wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam baada ya kuwasili jioni hii. 

Ferroviario itakwaana na Azam FC jumapili jioni kwenye uwanja wa Azam Complex

0 comments:

Post a Comment