NANI KUKUTANA NA NANI ROUND YA 16 CLUB BINGWA BARANI ULAYA?
Ile droo ya kupanga timu zitakazokutana katika round ya 16 ya michuano ya club bingwa barani ulaya inafanyika leo jioni ikiwa ni pamoja na ile droo ya uropa ligi.
vilabu na hatari ya kukutana na timu hizi.
Manchester united inaweza kukutana na
Galatasaray, Olympiacos, Schalke, Zenit, AC Milan.
Bayer Leverkusen inaweza kudondokea kwa
Real Madrid, Paris Saint-Germain, Chelsea, Atletico Madrid, Barcelona.
Real Madrid inaweza kudondokea kwa
Bayer Leverkusen, Olympiacos, Manchester City, Schalke, Arsenal, Zenit, AC Milan.
Galatasaray inaweza kudondokea kwa
Manchester United, Paris Saint-Germain, Bayern Munich, Chelsea, Borussia Dortmund, Atletico Madrid, Barcelona.
Paris-Saint Germain inaweza kudondokea kwa
Bayer Leverkusen, Galatasaray, Manchester City, Schalke, Arsenal, Zenit, AC Milan
Olympiacos inaweza kudondokea kwa
Manchester United, Real Madrid, Bayern Munich, Chelsea, Borussia Dortmund, Atletico Madrid, Barcelona.
Bayern Munich inaweza kudondokea kwa
Galatasaray, Olympiacos, Arsenal, Zenit, AC Milan.
Manchester City inaweza kudondokea kwa
Real Madrid, Paris Saint-Germain, Borussia Dortmund, Atletico Madrid, Barcelona.
Chelsea inawezekana kuangukia kwa
Bayer Leverkusen, Galatasaray, Olympiacos, Zenit, AC Milan.
Schalke inweza kukutana na kati ya hizi
Manchester United, Real Madrid, Paris Saint-Germain, Atletico Madrid, Barcelona.
Borussia Dortmund na timu hizi
Galatasaray, Olympiacos, Manchester City, Zenit, AC Milan.
Arsenal inaweza kudondokea kwa
Real Madrid, Paris Saint-Germain, Bayern Munich, Atletico Madrid, Barcelona.
Atletico Madrid na
Bayer Leverkusen, Galatasaray, Olympiacos, Manchester City, Schalke, Arsenal, AC Milan.
Zenit Saint Petersburg mdomoni mwa....
Manchester United, Real Madrid, Paris Saint-Germain, Bayern Munich, Chelsea, Borussia Dortmund, Barcelona.
Barcelona na....
Bayer Leverkusen, Galatasaray, Olympiacos, Manchester City, Schalke, Arsenal, Zenit.
AC Milan yaweza dondokea kwa....
Manchester United, Real Madrid, Paris Saint-Germain, Bayern Munich, Chelsea, Borussia Dortmund, Atletico Madrid.
0 comments:
Post a Comment