Taarifa ya club hiyo imesema: 'Club imefikia uamuzi huo wa kutangaza baada ya makubaliano ambayo yameafikiwa na Kocha Mkuu, Andre Villas-Boaz, kwa kusitisha huduma yake kwa kuridhiana katika maslahi ya pande zote.
Kipigo cha jana kwa Boas kilichosababisha meneja huyo kuonyeshwa mlango kimekuja wiki tatu tu
baada ya kipigo cha 6-0 kutoka kwa Manchester City.
Mwenyekiti wa spurs Levy amesema tayari wamejipanga kwa ajili ya mrithi wa AVB.
Tottenham inaangalia kocha uzoefu na Kombe la Dunia ambapo inamfikiria Fabio Capello, ambaye alikuwa katika uwanja wa White Hart Lane siku ya Jumapili kutekeleza majukumu TV, wengine ni Gus Hiddink na Glenn Hoddle .

Glum: Andre Villas-Boas akishuhudia kipigo cha 5-0 kutoka kwa Liverpool
Huyu jamaa ndiye aliyemsababishia avb matatizo baada ya kufunga mara mbili kwenye ushindi wa 5-0 hapo jana.
0 comments:
Post a Comment