Main Menu

Saturday, December 21, 2013

CHEKI PICHA 8 KWA MARA YA KWANZA VIDEO YA NUMBER 1 REMIX YA DIAMOND IKIONYESHWA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU


Kama nilivyotangulia kusema awali kuwa,hawa
 watoto ndiyo mashabiki wetu wakubwa,na mara 
nyingi hawapati fursa ya
 kuhudhuria maonyesho yetu
 ama kukutana na
 sisi..hivyo kutokana na kuwa awali,video 

ya number 1 version ya
 kwanza niliizndua kwa baadhi ya 
watu special pekee..awamu hii,video ya
 number one remix
 niliyoifanya na 
Davido wa Nigeria..nimeamua kuionyesha kwa
 mara ya kwanza kwa
 watoto waishio katika
 mazingira magumu..usisahau pia kuwa tarehe 25
 mwezi huu.mchana .pale Leaders club nitakuwa
 na tamasha  
special kwa  ajili ya watoto ambao wengi hawapati fursa ya
 kuona maonyesho yetu..na siku hiyo hiyo usiku
 tutakuwa Mwanza..get ready ...




 watoto wakiangalia kwa makini kabisa

 Nikisaini Kitabu cha wageni kabla sijaondoka
 
kwa hisani ya this is diamond

0 comments:

Post a Comment