Main Menu

Tuesday, November 19, 2013

NAMELESS KUONGOZA LIST YA ARTIST LUKUKI KATIKA KILELE CHA TAMASHA LA MTIKISIKO MKOANI IRINGA MWISHO WA MWEZI HUU


 Nameless kutoka nchini kenya ni mmoja kati wa artist kutoka nje ya nchi katika kilele cha tamasha kubwa kabisa nyanda za juu kusini MTIKISIKO........maliza maliza...........aaaaaaayaaaaaaaaaaaa linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa samora manispaa ya iringa tarehe 30/11/2013 kuanzia saa kumi jioni hadi majogooo.
Hapa akiwa na mkewe wahu na kwa taarifa yako tu hii ni moja na couple bora kabisa afrika mashariki

0 comments:

Post a Comment